ANGALIZO MUHIMU
-
Mzigo wowote utakaopokelewa na kampuni ukiwa katika hali nzuri,
utakuwa chini ya dhamana ya kampuni mpaka kufikishwa Ngara.
-
Mteja anapaswa kuhakikisha mzigo wake umefungwa vizuri na kwa usalama
kabla ya kukabidhiwa kwa kampuni.
-
Endapo mzigo utapotea au kuharibika ukiwa chini ya dhamana ya kampuni,
kampuni itamrejeshea mteja fidia kulingana na thamani ya mzigo
iliyotajwa na kuthibitishwa.